Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach

Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach

Monday, November 22, 2010

ANGALIA MDOMO WA PICHA!!!!

Picha hii inayotokea kwenye mtandao wa barua pepe ya Hotmail ikimuonesha bondia huyu akiwa amepigwa konde moja hadi domo likafunuka, hii siyo mchezo ni moja ya picha 50 bora zilizopigwa kweye ulingo wa ngumi.

No comments:

Post a Comment