Mtangazaji wa ITV na RadioOne, Mgosi William Mngazija, akituma habari katika kituo chake kuwapasha namna matokeo yalivyochelewa kutangazwa huku akipata chai na kipande cha mhogo kwenye ofisi za halmashauri ya wilaya ya Mkinga leo alasiri kabla ya kutangazwa matokeo.
kaka hakikisha una iupdate blog yako sio kila siku tunakuta mambo yale yale
ReplyDelete