|
MOJA YA BARABARA ZA UINGEREZA ZIKIWA KATIKA HALI YA BARAFU LEO ASUBUHI |
|
MASIKINI MBWA HUYU YUPO KATIKA WAKATI MGUMU WA KUKATIZA KWENYE MLIMA MKUBWA WA BARAFU |
|
JAMAA HUYU AKIKATIZA MITAA HUKU BARAFU IKIMDONDOKEA NA KUZIBA BARABARA |
BARAFU imetanda katika mitaa mbalimbali ya kaskazini na mashariki ya Londan ambako shughuli mbalimbali ikiwemo wanafunzi hawajaenda shule asubuhi leo kutokana na barafu kutishia uhai na magari yamekuwa yakipita kwa tabu barabarani ingawa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya madhara makubwa yaliyorpotiwa kutokea.
Mechi za leo za mzunguko wa pili za kugombea kome la FA huenda zisifanyike na kiongozi wa mchezo wa ragbi kati ya timu ya Afrika Kusini na Uingereza uliokuwa ufanyike leo kwenye uwanja wa Twickenham umeaahirishwa hadi utakapopangiwa siku nyingine. Sorce BBC
No comments:
Post a Comment