Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach

Blogu hii imedhaminiwa na Simba Video Coach
Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach

Tuesday, November 9, 2010

Vipepeo katika msitu wa Amani-Muheza

 Vipepeo ni moja kati ya vivutio vikubwa katika hifadhi asilimia ya misitu ya Amani ambayo imekuwa ikiwaingizia fedha nyingi baadhi ya wakazi ambao wanawafuga vipepeo hao kwa ajili ya kuwauza nje.



 misitu minene inayopatikana katika hifadhi ya Amani wilayani Muheza ambayo mara nyingi ukipita huko unakuta vipepeo na wanyama wengine wagodo ikiwemo nyoka hatari.
 Baadhi ya wakazi ambao hufanya shughuli zao katika msitu huo kama kulima iliki, pilipili manga na tangawizi ambazo hupatikana kwa wingi katika msitu huo.
Miti ya pilipili manga ikiwa imeuzunguka mti mwingine mkubwa, aina hiyo ya zao ni moja ya vivutio vikubwa vya kitalii kutokana na upanaji wake wa pilipili hiyo ambayo matawi yake huzunguka mti mkubwa kama unavyoonekana.

No comments:

Post a Comment