Mnara wa SAA uliopo pembezoni mwa bahari ya Hindi katika Jiji la Tanga, jirani na benki ya CRDB tawi la Tanga, Mnara huu una jumla ya karne moja na ushee hivi kama unavyoonekana pichani leo mchana umejengwa mwaka 1901, hata hivyo saa yake haifanyi kazi.
No comments:
Post a Comment