Wachazaji wa Manchester United Javier Hernandes 'Chicharito' (kushoto) na mwenzake aliyefunga goli la pili dhidi ya Wolverhampton J.S. Park akishingalia goli hilo la dakika za majeruhi.
Manchester United 'almaaruf Man U' baada ya kuifunga Wolverhampton 2-1 katika mchezo mzuri na wa kupendeza ambao J.S. Park aliifungia timu yake hiyo goli la jioni lililoipa ushindi timu hiyo na kuikaribia kabisa Chelsea inayoongoza kwa kuwa na pointi 25 dhidi ya 23 za Manu U....Kidogo kidogo wataachia tu kama Yanga hapa Tanzania kwa Simba.
No comments:
Post a Comment