Katibu Mkuu wa CECAFA Nicolaus Musonye akiwa na kaimu Katibu Mkuu wa TFF Sunday Kayuni.
Katibu Mkuu wa CECAFA (aliyenyoosha kidole) Rais wa CECAFA Leodger Tenga na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Richard Wells, leo kwenye hotel ya Monvenpick walikutana na waahariri wa habari za michezo kujadili mambo mbalimbali ya kuanza kwa mashindano hayo hapo Desemba 27 mwaka huu Jiji Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment