Kwa usafiri wa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha, safiri kwa raha na Simba Mtoto Luxury Coach
Saturday, November 20, 2010
Mgosi wa kaya akifanya mahojiano na mdau wa afya-Korogwe
Mgosi wa Kaya-William Mngazija wa ITV/Radio One akifanya mahojiano Bi Wandarange kutoka Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii wilayani Korogwe leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment